Sifa Lyrics

Yahweh by Denno cover art

Denno - Yahweh Lyrics

Artist:
Denno

Lyrics

Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele
Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele


Upendo gani huo, Baba ulinipenda nao
Hata ukamtoa mwanao Yesu
Azaliwe kama mwanadamu afe msalabani 
Aniokoe mimi, mwenye dhambi eeh


Niseme nini eeh Baba
Niseme nini ila niseme uinuliwe
Niseme nini eeh Baba
Niseme nini ila niseme uinuliwe


Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele
Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele


Relax, sikiza nikueleze
Ni kama sina akili mi
Kila nikifanikiwa 
Wananyakua chini chini


Relax, sikiza nimwambie eh
Watu watabonga mengi
Nilipokosana na mchumba
Walidhani nimechizi


Niseme nini mimi?
Nimechoshwa walimwengu
Nimejaribu kujinyamazia
Lakini bado naumia


Nifanye nini mimi
Nawachia Maulana
Yeye alisema atanipigania
Na haya yote namuachia eh eh


Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele
Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele


Imba tena Yahweh


Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele
Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele


Umevikwa utukufu na heshima
Nguvu na uweza
Kila goti litakunjwa
Na kila ulimi utakiri wewe ni Mungu


Uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele
Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele


Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele
Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele


Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele
Yahweh uinuliwe milele
Baba uabudiwe milele


Video