Sifa Lyrics

Nakupa Moyo Cover by Denno cover art

Denno - Nakupa Moyo Cover Lyrics

Artist:
Denno

Lyrics

Umenena eeh mmmh
Eeeh mmmh


Uliponitoa ni mbali
Kwenye panda shuka za maisha
Kwenye mvua na jua kali
Kivulini ukaniweka


Kwenye juhudi za kutafuta shillingi
Hukuninyima
Tena kwa taabu nikitafuta riziki
Ukaniinua Baba


Wacha nikusifu kwa lugha nyingi
Wote wasikie
Ero kamano Nyasae
Mukama e ma simwe


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini Baba
Chukua moyo Yesu wangu


Nipigwe na mawimbi, aaah mmh
Unanilinda siamini eeh


Mulinda wanje, Nyasae wanje 
Reke nguinere
Maweko maku, ni magegetie
Reke nguinere


Umenifinyanga siamini
Yesu wangu
Umenibeba angani mimi


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini Baba
Nakupa moyo


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini Baba
Chukua moyo Yesu wangu


Video