Denno - Nakupenda (Penzi langu) Lyrics

Contents:

Nakupenda (Penzi langu) Lyrics

Mara ya kwanza tulipokutana
Pale kanisani kwenye choir
Moyo wangu ulichangamka

Nilipokuambia nakupenda (Penda)
Nawe ukasema wanipenda pia
Nilihisi kufurahia aah

Alichokiweka pamoja Mungu
Asiwe yeyote wa kutenganisha
Asiwe, asiwe

Alichokiweka pamoja Mungu
Asiwe yeyote wa kutenganisha
Asiwe, asiwe wa kutenganisha

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu  

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu  

Nishike mkono pamoja tusonge(Tusonge)
Atujalie Maulana watoto tupate
Tena tumuombe atusaidie
Tuzeeke pamoja wajukuu tuwaone

Tell me what I gotta do to please you
Baby anything you say I do
Coz I only wanna make you happy
From the bottom of my heart is true

Tell me what I gotta to do to please you
Baby anything you say I do
Coz I only wanna make you happy
From the bottom of my heart is true

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu  

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu 

Alichokiweka pamoja Mungu
Asiwe yeyote wa kutenganisha
Asiwe, asiwe

Tell me what I gotta to do to please you
Baby anything you say I do
Coz I only wanna make you happy
From the bottom of my heart is true

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu  

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu 


Denno Songs

Related Songs