Jessica Honore - Yule Yule Lyrics

Lyrics

Yule, yule (Still Alive)

Tawala wawatawala Mungu wa miungu hakuna kama wewe Ulie wa kwanza ulie wa mwisho Ni yeye yule, wadumu milele

Ukiitwa waitika, ukiombwa unajibu Na ukijibu wa jibu kwa moto Ni Mungu wa jana, Ni Mungu wa leo Na hata kesho haubadiliki

Unabaki kuwa Mungu mwenye utukufu Mamlaka, na nguvu mi na wewe

Ni yule yule Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule Ni yule yule Mkombozi wa Maisha yangu yule yule

Ni yule yule Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule Ni yule yule Yesu ni yule yule , yule yule eeeh

Ni Yule yule Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule Ni yule yule  Yesu ni yule yule eeeeh

Mmmh ni ajabu Jinsi ulivyo utajiri wako  Ajabu hekima na maarifa yako Ajabu hukumu zako hazichunguziki Na njia zako sio za Dunia hii

Ooh Dunia vyote ni vyako, Baba Fedha dhahabu ni zako , Baba Unatoa kama vile upendavyo

Hauna upendeleo, Daddy Wa mbio wala hongo, Daddy Wakutumanio umekuwa ngao

Unabaki kuwa Mungu mwenye utukufu Mamlaka, na nguvu mi na wewe

Ni yule yule Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule Ni yule yule Mkombozi wa Maisha yangu yule yule

Ni yule yule Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule Ni yule yule Yesu ni yule yule , yule yule eeeh

Ni Yule yule Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule Ni yule yule  Yesu ni yule yule eeeeh

Uliyashinda mauti, mmmh Uliyashinda kaburi, aha Ni yule yule eeeh, ni yule yule eeeh

Ni yule yule Yule yule eh Ni yule yule eeeh  Yesu ni yule yule eeeh

Unabaki kuwa Mungu, Unabaki kuwa Mungu Unabaki Kuwa Mungu Yesu ni yule yule Unabaki kuwa Mungu, unabaki kuwa Mungu Unabaki Kuwa Mungu, Yesu ni yule yule

Ni yule yule, Yesu ni yule yule Yesu ni yule yule , ni yule yule Mkombozi wa maisha yangu ni yule yule

Ni yule yule, Yesu ni yule yule  Yesu ni yule yule yule yule Ni yule yule waniwazia mema ni yule yule

Ni yule yule, Yesu ni yule, yule  Yesu ni yule yule ni yule yule Eeh Baba, eeh Baba

Ni yule yule Ni yule yule Ni yule yule

Video

Yule Yule

Thumbnail for Yule Yule video
Loading...
In Queue
View Lyrics