Jessica Honore - Sirudi Nyuma Lyrics
Contents:
(Still Alive)
Sirudi nyuma ni mbele
Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye
Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele
Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye
Ni naye Yesu
Amejua kunisafisha Mungu
Amejua kuniondolea uchungu
Amejua kunivika utukufu
Na sasa mi mtu huru
Aliye na ubora wangu huyu Yesu
Hata niliivyo onekana si kitu
Hakujali historia yangu huyu Yesu
Sasa nimeinuliwa juu
Sirudi nyuma ni mbele
Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye
Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele
Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye
Ni naye Yesu
---