Sifa Lyrics

Wimbo Wangu by Alice Kamande cover art

Alice Kamande - Wimbo Wangu Lyrics

Artist:
Alice Kamande

Lyrics

Wewe ndiwe wimbo wangu


Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu, wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu, sifa zako tu


Sitaki kuenda mbali nawe
Bila nawe sitaweza pekee
Wewe unanifaa


Wewe ndiwe amani yangu
Kando yako sina mwingine
Taa ya njia yangu


Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu, wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu, sifa zako tu


Sifa zako kinywani mwangu
Haziwezi kufika kikomo
Wewe unanifaaa


Mwanga wa wokovu wangu
Kila kitu napata kwako
Ewe baba heee


Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu, wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu, sifa zako tu


Nitakusujudu Yahweh
Patakatifuni mwako
Wewe unanifaaa


Kimbilio la usalama
Wokovu na fahari yangu
Mwamba Imara


Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu, wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu, sifa zako tu


I will sing for you
Furaha yangu, mfariji wangu
Tegemeo langu, kimbilio langu
Mfariji wangu, msaidizi wangu


Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu, wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu, sifa zako tu


Video