Angela Chibalonza - 28 Anipenda Ni Kweli Lyrics

Lyrics

Anipenda ni kweli, Mungu anena hili,
Sisi wake watoto, kutulinda si zito.

CHORUS:
Yesu Mwokozi, ananipenda,
Kweli hupenda, Mungu amesema.

Kwa kupenda akafa, niokoke na kifo,
Atazisafi taka, sana ataniweka.

Anipenda kabisa, niuguapo sasa,
Anitunza mbinguni, niliyelala chini.

Kunipenda haachi, tu sote hapa chini,
Baada ya mashaka, kwake tanipeleka.

Video

Amenena Mwenyewe Angela Chibalonza

Thumbnail for 28 Anipenda Ni Kweli video
Loading...
In Queue
View Lyrics