Lyrics
Hadithi ya maisha yangu
Imechorwa na Elshaddai
Kabla dunia haijaumbwa, iliandikwa
Bei imelipwa, njia imetengenezwa
Hakuna tena vizuizi, tunasonga
Usiku na mchana ibada yangu haitagoma
Nimeitwa na jina Mshindi asiyeshindwa
Kila changamoto huwa baraka
Kila chozi huhesabika
Ninapojua Yesu ni wangu
Umeniweza umeniweza
Nimeona uzuri wako
Umeniweza umeniweza
Nimeona uzuri wako
Uzima wa milele
Upendo wa milele
Siwezi epuka
Uzima wa milele
Upendo wa milele
Siwezi epuka
Umeniweza umeniweza
Nimeona uzuri wako
Umeniweza umeniweza
Nimeona uzuri wako
Neno lako limethibitisha maishani mwangu
kwa sababu hii namwamini kabisa
Naamini wewe upo unafanya kazi...