Wema Na Fadhili Lyrics

Swahili Songs Playlist Music Videos

Wema Na Fadhili Lyrics

Mp3 Song

Wema na fadhili Zako - za milele na milele
Wema na fadhili Zako Yahweh, za milele na milele

(Stanza 1)
•Give thanks to God Almighty, mhm!
-His love endures forever!
•Give thanks to the King of kings, eeei!!
-His love endures forever!
•He is power He does great wonders, ehe!
-His love endures forever!
•By his power He saves His anointed, mmm!
-His love endures forever!

*chorus*
Wema na fadhili Zako - za milele na milele
Wema na fadhili Zako Yahweh, za milele na milele

(Stanza 2)
•Aliumba mbingu na nchi kwa busara yake Jehovah,
-His love endures forever!
•Mwaminifu habadiliki kamwe, ehee!
-His love endures forever!
•Jangwani atuongoza Jehovah! Aha!
-His love endures forever!
•Siku zote Yeye Baba atulinda, mhhm!
-His love endures forever!

*chorus*
Wema na fadhili Zako - za milele na milele
Wema na fadhili Zako Yahweh, za milele na milele

Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Wema Na Fadhili:

0 Comments/Reviews