Nadia Mukami - Lola Lyrics

Lyrics

I never met someone like you before I never met something like...

Aaah aaah aah, beiby Aaah aaah aah, lola Aaah aaah aah(Aaah...)  Aaah aaah aah...

Motif did on

Nashangaa na hizi pesa Nilijikuta tu kivyangu  Ati mwanzoni ulinipenda

Akabisha shetani huku kwetu  Lakini mbona hukuniambia?

Jasiri, nijulie mitandaoni Ukweli ukaukimbia

Ati mhusika ndo shetani Ama ni kiki unatafutia?

Ndo maombi yangu moyoni Ama ni showbiz na hujaniambia?

Nisijitese akilini Ona tulianza bila mapeni  Na leo tuna magari

Nimekosa nini jameni? Si ulitaka aliye maarufu Uwape stori magazeti

Matusi pande mbili Kipenzi cha watu jamani Walitupenda sote wawili, ila

Lola, yamemwagika hayazoleki Lola(lola)  Lola, yamemwagika hayazoleki  Lola, yamemwagika bas..

Lola, sasa umeniacha na nani? Lola, rudi kwangu mimi Lola, sasa umeniacha na nani mama yoh?  Lola, rudi kwangu mimi

Mimi nimeunguka Sina hata haja kukutazama kwenye sura Nilo yafichaa Mwangu moyoni, yote unayajua

Naona aibu  Mpaka kwa marafiki zangu Imekuwa chungu  Kwa tamaa zangu

Nadia ulinipendaga Na mapenzi yalinoga Me ndio nilikumwaga Nakuomba msamaha wangu mama

Basi usiniadhibu Kwa kosa tayari nimekubali Acha kunihusudu Kila mahali ni mimi mitandaoni

Kugombana sio suluhisho mama  Aaah, aaah Tusizidi kuvunja mwiko mama Wa mapenzi yetu mi na we

Lola, sasa unaniacha na nani? Lola, rudi kwangu mimi Lola, sasa unaniacha na nani mama yoh?  Lola, rudi kwangu mimi(mama yoh)

Lola, yamemwagika hayazoleki Lola(lola)  Lola, yamemwagika hayazoleki  Lola, yamemwagika baba

Umefanya pombe kuwa pacha wangu Kichwa ni mawazo  Kichwani mwangu oooh Na si unajua, nakupenda wewe iyee

Hayazoleki(hayazoleki) Wowowowowowowooooo... Nadia, Nadia wewe  Nakupenda oooh...

Video

Nadia Mukami - Lola (Official Video) Ft. Masauti (DIAL *811*601#)To set Skiza Tune)

Thumbnail for Lola video

Meaning & Inspiration

not a christian song.

Loading...
In Queue
View Lyrics