Kijito Cha Utakaso

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu,
Bwana anao uwezo kunipa wokovu

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso

Viumbe vipya naona damu ina nguvu,
Imeharibu uovu ulionidhulumu

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso

Ni neema ya ajabu kupakwa na damu
Na Bwana Yesu kumjua Yesu wa msalaba

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso
Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso
Share:
2 Comments

Maoni kuhusu wimbo: Kijito Cha Utakaso

Comments / Song Reviews

Joseph Masila Am in love with this song it's soul lifting, amen and Amen 1 week ago
Simon Karanja Woow!! Nimeupenda huo wimbo..
Ombi langu ni kwamba wakristiano twaweza pata kuelewa umuhimu wa utakaso utokanao na damu ya Yesu....

Asante sana @Dianna.....Bwana akubariki 2 months ago

Share your understanding & meaning of this song


Diana Sarakikya

@diana-sarakikya

Bio

Profile bio not available. Go to Artists Page to add bio & Links

Bible Verses for Kijito Cha Utakaso

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Sifa Lyrics

Social Links