Sifa Lyrics

Unafaa by Walter Chilambo cover art

Walter Chilambo - Unafaa Lyrics

Artist:
Walter Chilambo
Album:
Ushuhuda
Official Release:
16 May 2022

Lyrics

Macho yameona na tena nimesikia habari njema kwangu
Moyo una shauku pia kukuona zaidi bwana wangu
Nina kiu kiu isio kata aah ni kama nipo jangwani naona vumbi tu
Nahitaji chakula cha roho yangu mi nipone kwa maana nipo jangwani
(Ninakuhitaji yeyeeh)


Ukae na mimi  ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu
Ukae na mimi  ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu
Hakika wewe   unafaa (unafaa)


Baba sitamani nije kwako mikono mitupu nibariki nikutolee sadaka
Najua nikiwa mikononi mwako  nitakua shwari nitakuwa shwari
Kwa mana ahadi zako si uongo (uongo) ndivyo hivyo unatimiza ahadi
Ndo maana sina wasiwasi ndo maana sina waasi


Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe iwe salama yang
Baba (huhuhuuuh) ukae ndani yangu nikae na wewe (babababababah)
Ni wewe unanifaa    unafaa  (unafaa)
We ni babaah (unafaa)   baba ni wewe unastahili (unafaa)


Njoo ukate kiu yangu


Video