Walter Chilambo - Usichelewe Lyrics

Album: Usichelewe - Single
Released: 13 Mar 2025
iTunes Amazon Music

Lyrics

Aaaah Walter tenaaaMungu wangunaomba niongee na weweHata kidogoNasikia uchungu ndani ya MoyoMambo yamekuwa mazitoNa siwezi peke yangu Naona maumivu ndani ya moyoNa umesema walipo wawili wewe upoNajiuliza nikiwa peke yangu je we upo?Ni kweli na imani Lakini kuna muda nachokaNa si kwamba sikuaminiNakuamini sanaaNimeomba,nimefunga na nimetoa sadakaIla mambo yanayumba,fanya hima uje harakaBasi uniambie mi (Ni wapi nakosea)Baba uniambie mi (Niwapi nakosea)Yesu uniambie eehh (Niwapi nakosea)Baba uniambie Mi niwapi nakosea nakuombausichelewe...( nachoka, nachoka )usichelewe...( tazama moyo umechoka )usichelewe...( nitangoja, ntangoja )usichelewe...( Mi mwanao bado ntangoja )Wenzangu wana marafiki Wa kuwaambia shida zaoNa mimi we ndio wangu RAFIKINinakuambia haja zanguSiulisemaUtanibariki mjini na mashambaniSiulisemaNiingiapo na nitokapo nitabarikiwaSiulisemaFedha na dhahabu vyote ni mali yako SiulisemaNikiomba utanipa zaidi ya niombavyoNimeomba,nimefunga na nimetoa sadakaIla mambo yanayumba,fanya hima uje harakaBasi uniambie mi (Ni wapi nakosea)Baba uniambie mi (Niwapi nakosea)Yesu uniambie eehh (Niwapi nakosea)Baba uniambie Mi niwapi nakosea nakuombausichelewe...( nachoka,nachoka )usichelewe...( tazama moyo umechoka )usichelewe...( nitangoja ,ntangoja )usichelewe...( Mi mwanao bado ntangoja )

Video

Walter Chilambo - Usichelewe (Official Video) Sms 'Skiza 8021267' To 811

Thumbnail for Usichelewe video
Loading...
In Queue
View Lyrics