Walter Chilambo - Mwaka Lyrics
- Song Title: Mwaka
- Album: Mwaka - Single
- Artist: Walter Chilambo
- Released On: 05 Dec 2024
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Naumaliza Mwaka hivyoNa nauanza mwaka huoNaumaliza Mwaka hivyoNa nauanza mwaka huoJamani mwaka huoJamani mwaka huoAsante Mungu umenilindaJanuary to December Umeniepusha na mengi hata sijafaKweli Mungu unanipendaNiliomba kidogo umenipa.. vikubwaMi na mizigo yangu yote.. umebebaJapo wapo walonicheka babaWakati naanza plan za maisha wakanikatisha tamaaMungu si SelemaniOna amenipa na mimiUkistaajabu ya MusaBasi utayaona ya FirauniWalifunga kushoto (walifunga kushoto)Kafungua kulia (kafungua kulia)Mungu amenitetea (Mungu amenitetea)Wamechanganyikiwa (wamechanganyikiwa)Naumaliza mwaka hivyo oohh Na nauanza mwaka huo oohh Naumaliza mwaka hivyo oohh Na nauanza mwaka huo oohh Basi piga kelele aaeehh aaeehhKama bado una hema we aaeehh aaeehhWengi walitamani kuwa kama wewe aaeehh aaeehhAaaeeehhh ....aaeehh aaeeehhhNimependelewa kati ya walio hai nimehesabiwaNa namshukuru Mungu Kwa yote ..hata kwa yale hajayatenda aaaahhhKanipa Nyumba Kanipa Gari,kanipa kazi Kanipa ndoa,kanipa watoto Amenipa amani,ameniheshimishaMungu si SelemaniOna amenipa na mimiUkistaajabu ya MusaBasi utayaona ya FirauniWalifunga kushoto (walifunga kushoto)Kafungua kulia (kafungua kulia)Mungu amenitetea (Mungu amenitetea)Wamechanganyikiwa (wamechanganyikiwa)Naumaliza mwaka hivyo oohh Na nauanza mwaka huo oohh Naumaliza mwaka hivyo oohh Na nauanza mwaka huo oohh Basi piga kelele aaeehh aaeehhKama bado una hema we aaeehh aaeehhWengi walitamani kuwa kama wewe aaeehh aaeehhAaaeeehhh ....aaeehh aaeeehhhJamani Mwaka huooo..aaeehh aaeehhUnaisha na unaanza huo..aaeehh aaeehhSema Asante we kama mzima..aaeehh aaeehhKuna wengine hawapo tena..aaeehh aaeehh