Walter Chilambo - Bila Sababu Lyrics

Contents:

Bila Sababu Lyrics

Neema yako I juu yangu baba aah Asante
Upendo wako zaidi ya vyote eeh Asante
Baba Kwa roho wako
Malaika wako
Kwa ulinzi wako
Wema fadhili zako
Baba ajabu zako Asante

Maana unanipenda bila sababu
Unanipenda bila sababu
Baba  unanipenda bila sababu
Unanipenda bila sababu
Aiyee yeeh
Unanipenda bila sababu
(Unanipenda bila sababu) ooh
Unanipenda bila sababu
(Upo nami Kila saa)
Unanipenda bila sababu
(Kila siku bila sababu Yahweh unanipenda)
Ooh Unanipenda bila sababu
Oooh yeah  aaah uuuuh uuuh aah

Laiti Kama ungelikua mtu Kama Mimi labda ungenitenga kabisa
Laiti Kama ungechagua wafupi na warefu labda ningetengwa mbali
Laiti Kama ungetazama rangi eeh sidhani
Kama ningefaa kumbe sivyo ulivyo mhhhmhhh

Baba Kwa roho wako
Malaika wako
Kwa ulinzi wako
Wema fadhili zako
Baba ajabu zako Asante

Maana unanipenda bila sababu
Unanipenda bila sababu
Baba  unanipenda bila sababu
Unanipenda bila sababu
Mhhhh
Unanipenda bila sababu
(Bila sababu unanipenda)
Unanipenda bila sababu
(Angali nafanya yanayokuudhi)
Unanipenda bila sababu
(Bila sababu bila sababu eyeeh)
Ooh Unanipenda bila sababu(sistahiili kamwe)
Unanipenda bila sababu
(Baba bila sababu unanipenda)
Unanipenda bila sababu
(Na Tena upendo wako kwangu unazidi)
Unanipenda bila sababu
(Bila sababu )
Ooh Unanipenda bila sababu

Maana unanipenda bila sababu
Unanipenda bila sababu
Baba  unanipenda bila sababu
Unanipenda bila sababu


Walter Chilambo Songs

Related Songs