Hapo mwanzo kulikwa na neno

Buy Mp3

Hapo mwanzo kulikwa na neno
naye neno alikuwa kwa mungu
na tena neno huyu alikuwa mungu
naye neno alifanyika mwili akaja
akakaa kwetu tukauona utukufu
wake mwana kondoo yohana
alimwona amevikwa vazi lilichovya
katika damu na jina lake lilikua mwana wa mungu


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Hapo Mwanzo Kulikwa Na Neno:

0 Comments/Reviews