Sifa Lyrics

Kwa Kalvari by Walter Chilambo cover art

Walter Chilambo - Kwa Kalvari Lyrics

Artist:
Walter Chilambo
Album:
Kwa Kalvari (Acoustic) - Single
Official Release:
27 Jun 2021

Lyrics

Muda mwingi nilipotea
Sikufahamu msalaba
Wala aliyenifilia kwa Kalvari
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari
Kwa neno lake Bwana Mungu
Nilijiona mimi mwovu
Nikageuka na kutubu kwa Kalvari
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari


Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua kwa Kalvari
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifungua kwa Kalvari


Yote kwa Yesu namtolea
Ndiye mfalme wa pekee sasa
Na Kwa furaha nitamwimbia kwa Kalvari
Jinsi pendo lilivyo kuu
Neema ilishuswa toka juu
Alitufanyia wokovu kwa Kalvari


Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari
Rehema bure na neema
Samaha nalo nilipewa
Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari


Video