Lyrics
Verse 1
Wewe wathamini maombi
Tena wahifadhi machozi
Hutanichoka
Wanisikia
Verse 2
Safari jangwani ni ndefu
Na miguu yangu imechoka
Unikumbuke, unipe maji Bwana
Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo
Chorus
Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo
Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo
Chorus
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu
Verse 3
Kuna wakati kwa kila jambo
Na majira
Ee Mungu nisaidie mimi
Nisijisahau
Yaje mema
Yaje mabaya
Ee Mungu nisaidie mimi
Verse 4
Kinywa changu kitau Nena
Uzuri wa gomo wokozi
Yaje mema
Yaje mabaya
Ee Mungu nisaidie mimi
Chorus
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu
Verse 5
Nifundishe kuzia sabu
Siku zangu
Nisije nikajisahaou
Mungu wangu
Nifundishe kuzia sabu
Siku zangu
Nisije nikajisahaou
Mungu wangu
Chorus
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu
Chorus
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu
Video
Meaning & Inspiration
“Nina Ushuhuda” by Rehema Simfukwe is a Swahili song of trust in a long wilderness walk. The opening says that God values prayers, stores up tears and does not tire of the singer. The second verse describes a long walk in the desert with tired feet and asks the Lord to remember the singer and give water in the wilderness.
The chorus repeats “Maji jangwani,” water in the desert, and asks God to satisfy the singer’s thirst, with the line “Nakuamini kwa yote nipitiayo,” meaning “I trust You in all I go through.” Later verses speak of a time for everything, of good and bad coming, and of asking God for help and for the grace to count one’s days.
The lines are close to Psalm 56:8, Psalm 63:1 and Ecclesiastes 3:1. The song is quiet and prayerful, with the repeated chorus carrying its hope.
Related Scripture
- Psalm 56:8 God keeps count of tears
- Psalm 63:1 Thirst for God in a dry and weary land
- Ecclesiastes 3:1 A time for every matter under heaven