Sifa Lyrics

Oooh Yesu by PaPi Clever & Dorcas cover art

PaPi Clever & Dorcas - Oooh Yesu Lyrics

Artist:
PaPi Clever & Dorcas
Album:
Oooh YESU - Single
Official Release:
05 May 2026

Lyrics

Verse 1
Katika giza langu, Umekuwa mwanga,
Kila siku, natembea na wewe,
Ninapo jaribiwa, We ni nguvu yangu,
Hakuna wakufananishwa nawe, Yesu.


Chorus
Hakuna wakufananishwa nawe,
Hakuna mwingine, oh, Yesu,
Wewe ni mwokozi, na rafiki,
Hakuna kama wewe, oh, Yesu.


Verse 2
Nitaimba sifa zako, milele na milele,
Ufalme wako utadumu
Mwanzo na mwisho,
Ninapokutafuta, nakuona, oh, Yesu.


Chorus
Hakuna wakufananishwa nawe,
Hakuna mwingine, oh, Yesu,
Wewe ni mwokozi, na rafiki,
Hakuna kama wewe, oh, Yesu.


Bridge
oh, Yesu oh, Yesu oh, Yesu oh, Yesu.
oh, Yesu oh, Yesu oh, Yesu oh, Yesu.
Rafiki Rafiki Rafiki Rafiki
Mwokozi Mwokozi Mwokozi Mwokozi


Video