Sifa Lyrics

Timeless Gospel (Medley) by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - Timeless Gospel (Medley) Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir

Lyrics

1. Amenitendea Mema


Lead & Choir:

Amenitendea mema,

Huyu Yesu amenitendea mema,

Mema sana.


Amenitendea mema,

Huyu Yesu amenitendea mema,

Mema sana.


(Kurudia / Repeat)




2. Kaza Mwendo


Lead:

Ndugu yangu kaza mwendo,

Uingie mbinguni.

Njia ni mbili mwenzangu,

Chagua uendayo.


Choir & Lead:

Ndugu yangu kaza mwendo,

Uingie mbinguni.

Njia ni mbili mwenzangu,

Chagua uendayo.


Chorus:

Njia ni mbili mwenzangu,

Chagua uendayo.

Njia ni mbili mwenzangu,

Chagua uendayo.




3. Jina la Yesu


Lead & Choir:

Jina la Yesu linaokoa — (Haleluya)

Jina la Yesu linabariki — (Haleluya)

Jina la Yesu linainua — (Haleluya)

Jina la Yesu linabariki — (Haleluya)


Chorus:

Tumwimbie Yesu kwa kuwa ni mwema — (Haleluya)

Tumwimbie Yesu kwa kuwa ni mwema — (Haleluya)

Tumwimbie Yesu kwa kuwa ni mwema — (Haleluya)

Tumwimbie Yesu kwa kuwa ni mwema — (Haleluya)




4. Waliompokea (Yohana 1:12)


Lead & Choir:

Wote waliompokea,

Aliwapa uwezo wa kuwa wana.


Wote waliompokea,

Aliwapa uwezo wa kuwa wana.


(Mwitikio / Response):

Aliwapa uwezo — (Wa kuwa wana)

Aliwapa uwezo — (Wa kuwa wana)

Aliwapa na nguvu — (Wa kuwa wana)

Aliwapa na nguvu — (Wa kuwa wana)

Aliwapa uwezo — (Wa kuwa wana)

Aliwapa na nguvu — (Wa kuwa wana)




5. Yesu Ni Bwana


Lead & Choir:

Siku zote tutaimba, siye — (Yesu ni Bwana)

Ametubadilisha huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Ametutengeneza huyu Baba — (Yesu ni Bwana)

Usiku na mchana tutaimba — (Yesu ni Bwana)

Ametutoa mbali huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Ametubadilisha huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Kaingia gharama kwa ajili yetu — (Yesu ni Bwana)

Ametubadilisha huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Ametutengeneza huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Ametubadilisha huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Ametutoa mbali huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Kajitoa msalabani huyu Baba — (Yesu ni Bwana)

Kaingia gharama kwa ajili yetu — (Yesu ni Bwana)

Ametutengeneza huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Ametubadilisha huyu Yesu — (Yesu ni Bwana)

Ametutengeneza huyu Baba — (Yesu ni Bwana)


Video