Lyrics
Intro
(Guardian Angel)
Yeah man, blessing, love, and eternal souls to the world, you know
Linda alongside Guardian Angel talking about Kama Sio Wewe
Chorus
Na kama sio Wewe kunisaidia, Yesu
Ningeificha wapi sura yangu, mimi leo?
Na kama sio Wewe kunisaidia, Yesu
Ningeificha wapi sura yangu, mimi leo?
Verse 1 (Linda Darling)
Nimeamini dharau inatangulia kabla ya heshima
Uliruhusu dhahabu nipite kwenye moto ning’are
Yesu nimekuona (Nimekuona)
Imebidi nimekuona (Nimekuona)
Yesu nimekuona (Nimekuona)
Imebidi nimekuona (Nimekuona)
Pre-Chorus
Zako sifa sifa, nitaziimba
Dunia nzima ijue, Wewe ni mzuri eh
(Guardian Angel)
Eh Baba, zako sifa sifa, nitaziimba
Dunia nzima ijue, Wewe ni mzuri, yeh yeh yeh
Hook
Acha zitoke chini, chini, zipande juu (Sifa zako)
Acha zitoke chini, chini, zipande juu (Sifa zako)
Chorus
Na kama sio Wewe kunisaidia, Yesu
Ningeificha wapi sura yangu, mimi leo?
Na kama sio Wewe kunisaidia, Yesu
Ningeificha wapi sura yangu, mimi leo?
Verse 2 (Guardian Angel)
Bwana usingekuwa nami, sijui ningekuwa wapi
Kama usingekuwa nami, sijui ningeitwa nani
Majeshi, majeshi (Majeshi, majeshi)
Ya malaika Zako (Majeshi, majeshi)
Majeshi, majeshi (Majeshi, majeshi)
Yamenizingira
Yesu unanipenda sana, na Kwako sina hasara
Yesu unanipenda sana, sina, sina hasara
Pre-Chorus
Zako sifa sifa, nitaziimba
Dunia nzima ijue, Wewe ni mzuri eh
Eh Baba, zako sifa sifa, nitaziimba
Dunia nzima ijue, Wewe ni mzuri, yeh yeh yeh
Hook
Acha zitoke chini, chini, zipande juu (Sifa zako)
Acha zitoke chini, chini, zipande juu (Sifa zako)
Chorus
Na kama sio Wewe kunisaidia, Yesu
Ningeificha wapi sura yangu, mimi leo?
Na kama sio Wewe kunisaidia, Yesu
Ningeificha wapi sura yangu, mimi leo?
Outro
(Instrumental / Praise & Dance)
From nothing to something.