Sifa Lyrics

ONA SASA by Neema K cover art

Neema K - ONA SASA Lyrics

Artist:
Neema K

Lyrics

Chorus


Anaweza Bwana

Anaweza yote

Aliahidi atatenda

Ona sasa ametimiza (x2)


(With ad-libs)

Anaweza Bwana (Anaweza Bwana)

Anaweza yote (Anaweza yote)

Aliahidi atatenda (Aliahidi atatenda)

Ona sasa ametimiza (x2)




Verse 1 (Neema)


Bwana ni Mungu

Sio mwanadamu adanganye

Ahadi zake zote ni kweli

Ndio na amina


Hajawahi shindwa

Haanzi leo

Yeye ni mwaminifu

Milele (x2)




Chorus


Anaweza Bwana (Anaweza Bwana)

Anaweza yote (Anaweza yote)

Aliahidi atatenda (Aliahidi atatenda)

Ona sasa ametimiza (x4)




Verse 2 (Karambu)


Njooni nyote muone

Aleyatendayo huyu Mungu wa miungu

Ayatendayo yeye

Kweli ni makuu

Ahadi zake kweli

Ni ndio na amina

Yeye ni mwaminifu

Milele


Njooni nyote muone

Aleyatendayo huyu Mungu wa miungu

Ayatendayo yeye

Dunia isimame imsifu

Ahadi zake kweli

Ndio na amina

Yeye ni mwaminifu

Milele




Chorus


Anaweza Bwana (Anaweza Bwana)

Anaweza yote (Anaweza yote)

Aliahidi atatenda (Aliahidi atatenda)

Ona sasa ametimiza (x4)




Bridge / Call & Response


Lead: Basi mpeni Bwana shukrani, haye haiye

Choir: Ametimiza

Lead: Imbeni sifa zake, sifa zake yeye

Choir: Ametimiza

Lead: Basi mpeni Bwana shukrani, haye haiye

Choir: Ametimiza

Lead: Tangaza matendo yake Bwana

Choir: Ametimiza

Lead: Basi mpeni Bwana shukrani, haye haiye

Choir: Ametimiza

Lead: Imbeni, imbeni sifa zake

Choir: Ametimiza


Karambu: Mpeni Bwana utukufu, shangwe na nderemo

Choir: Ametimiza

Karambu: Njooni muone anayoyatenda yeye

Choir: Ametimiza

Karambu: Mpeni Bwana utukufu na sifa

Choir: Ametimiza

Karambu: Njooni muone matendo yake

Choir: Ametimiza

Karambu: Mpeni Bwana utukufu, sifa, vigelegele

Choir: Ametimiza

Karambu: Njooni nyote muyaone matendo yake

Choir: Ametimiza


Choir:

Haiye, haiye, ametimiza

Haiye, haiye, ametimiza

(Repeat with ad-libs & instrumental dance break)




Vamp 1 (Call & Response)


Lead: Anaweza — Choir: Anaweza

Lead: Anaweza — Choir: Anaweza

Lead: Anaweza — Choir: Anaweza

Lead: Ona sasa — Choir: Ona sasa aweza


Lead: Anaweza — Choir: Anaweza

Lead: Yeye ni mkuu — Choir: Anaweza

Lead: Anaweza yote — Choir: Anaweza

Lead: Ona ona — Choir: Ona sasa aweza


Lead: Aliahidi atatenda — Choir: Anaweza

Lead: Ona ametenda — Choir: Anaweza

Lead: Ahadi zake zote ni ndio na amina — Choir: Anaweza

Lead: Ona — Choir: Ona sasa aweza


Lead: Alisema subiri ninakuja — Choir: Anaweza

Lead: Hakuchelewa Bwana hakuchoka — Choir: Anaweza

Lead: Yeye ni mwaminifu — Choir: Anaweza

Lead: Ona — Choir: Ona sasa aweza


Lead: Anaweza — Choir: Anaweza (repeated)

Lead: Anaweza kuponya — Choir: Anaweza

Lead: Anaweza yote — Choir: Anaweza

Lead: Ona sasa — Choir: Ona sasa aweza




Vamp 2 ("Ona Sasa")


Lead: Ona sasa — Choir: Ona sasa (x3)

Lead: Yeye — Choir: Aweza


Lead: Ona sasa — Choir: Ona sasa (x3)

Lead: Ye-ye-ye — Choir: Aweza


Choir: Anaweza yote, aweza!




Spoken Interlude (Neema)


Wacha niwaambie, these are the kind of songs you sing when kwenu kulikuwa kumesemekana sijui ni nini. Walisema ati wasichana wa hii nyumba hawaoleangi. Kwa wedding yako unaimba unasema, "Ona sasa!" Graduation yako unaimba unasema, "Si ona sasa!" Daktari alisema ati hii ugonjwa huwezi pona, lakini Mungu ni nani? "Ona sasa!"




Final Vamp


Lead: Ona sasa — Choir: Ona sasa (x3)

Lead: Yeye — Choir: Aweza


Lead: Ona sasa — Choir: Ona sasa (x3)

Lead: Ye-ye-ye — Choir: Aweza


Lead: Ona sasa — Choir: Ona sasa

Lead: Amejibu maombi — Choir: Ona sasa

Lead: Amejibu maombi yangu — Choir: Ona sasa

Lead: Ona — Choir: Aweza


Lead: Alisema atatenda — Choir: Ona sasa

Lead: Leo ametenda — Choir: Ona sasa

Lead: Ninashuhudia ukuu wake — Choir: Ona sasa

Lead: Ona — Choir: Aweza


Lead: Walisema sitaweza — Choir: Ona sasa

Lead: Wakasahau ninaye Mungu — Choir: Ona sasa

Lead: Anayeweza mambo yote — Choir: Ona sasa

Lead: Ona — Choir: Aweza


Lead: Ona sasa — Choir: Ona sasa (x2)

Choir: Anaweza yote, aweza!


(Outro: "Ambia jirani yako, 'Ona sasa!'")


Video