Neema Gospel Choir + AIC Chang'ombe - Neema ya Yesu Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Neema Ya Yesu
  • Album: Napokea Kibali
  • Artist: Neema Gospel Choir
  • Released On: 27 Dec 2021
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Neema Gospel Choir Neema ya Yesu

Neema ya Yesu Lyrics

Neema ya Yesu,
Jesus' grace
huruma ya Yesu 
Jesus' mercy
Imetupa kuwako tena na leo
has made us be here today

Hatukustahili,
we were unworthy
tungeangamia
we would have been perished
Pendo la Yesu ajabu, twaishi
Jesus' love is amazing, we are alive
 
Neema ya Mungu tu yatufunika
only God's grace is covering us
Neema ya Mungu tu yatosha
God's grace is sufficient

Tumeokolewa kwa neema
we are saved by the grace
Tunaishi kwa neema
we are alive because of the grace
Neema ya Mungu tu yatosha
God's grace is sufficient

Ni nani na aseme sasa
then who can tell us
Angeweza kwa nguvu zake
that he could be able to stand on his own
Bila Yesu maisha ni bure
without Jesus life is nothing 
 
Tuitunze neema ya wokovu wa Kristo
Let us keep the grace of salvation of Jesus Christ
Tuyaache maovu yote tutapona
let us turn away from evils and we shall be saved

Tuhubirini neno,
let us preach the word of God
neema imefunuliwa 
that the grace has been revealed
Watu wote wajue neno wapone 
all people should know word of God and be saved
 
Wapone, wapone
let them be saved , let them be saved
Watu wote wajue neno wapone 
all people should know the word of God and be saved


Neema Gospel Choir, AIC Chang'ombe - Neema ya Yesu (Official Video)

Neema ya Yesu Lyrics -  Neema Gospel Choir

Neema Gospel Choir Songs

Related Songs