Neema Gospel Choir - Victory Declaration Lyrics
- Song Title: Victory Declaration
- Album: Victory Declaration - Single
- Artist: Neema Gospel Choir
- Released On: 11 Oct 2024
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatuta tikisika Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatuta tikisika Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatuta tikisika Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatuta tikisika Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama Tumakimbilia kwake Tumesitirika kwake Katukumbatia kwa mbawa zake Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama tumakimbilia kwake Tumesitirika kwake Katukumbatia kwa mbawa zake Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Imitimia kwetu ameifanya kweli ahadi yake Imitimia kwetu ameifanya kweli ahadi yake Imitimia kwetu ameifanya kweli ahadi yake Imitimia kwetu ameifanya kweli ahadi yake Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama Hatuna shaka Ndani ya yesu tuko salama