Sifa Lyrics

Muumba wa Miisho by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - Muumba wa Miisho Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir
Album:
Nikubali Yesu
Official Release:
08 Jan 2022

Lyrics

Muumba wa miisho ya dunia
Bwana wa mabwana
Hazimii, hachoki
Hodari kwa nguvu
Hakuna wa kufanana naye Yesu
Muumba wa miisho ya dunia
Bwana wa mabwana
Hazimii, hachoki
Hodari kwa nguvu
Hakuna wa kufanana naye Yesu


Wamngojeao Bwana
Watapata nguvu mpya
Watapanda juu kama tai
Nami Bwana nakungoja
Wamngojeao Bwana
Watapata nguvu mpya
Watapanda juu kama tai
Nami Bwana nakungoja


Bwana naomba unipe nguvu mpya
Nisichoke kupiga mbio katika wokovu
Bwana naomba unipe nguvu mpya
Nisichoke kupiga mbio katika wokovu


Sitachoka,  sitazimia
Yesu yupo, Yesu yupo
Sitakata tamaa
Sitarudi nyuma
Yesu yupo, Yesu yupo
Sitachoka,  sitazimia
Yesu yupo, Yesu yupo
Sitakata tamaa
Sitarudi nyuma
Yesu yupo, Yesu yupo


Sitachoka,  sitazimia
Yesu yupo, Yesu yupo
Sitakata tamaa
Sitarudi nyuma
Yesu yupo, Yesu yupo
Sitachoka,  sitazimia
Yesu yupo, Yesu yupo
Sitakata tamaa
Sitarudi nyuma
Yesu yupo, Yesu yupo


Video