Evelyn Wanjiru - Nikufahamu Zaidi Bwana Lyrics
Lyrics
Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah

Nataka nitembee na wewe wakati wote Nitembee kwa nuru yako Baba eeh Nishirikiane na wewe eeh kwa kila jambo ongoza hatua zangu, ewe Baba,ongoza hatua zangu ewe Baba Ongoza hatu hatua zangu Yesu uu
Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah
Wewe ni mume wa wajane, baba wa yatima mfariji wa waliofiwa Mtetezi wa wanyonge, unaponya waliovunjwa mioyo Nakuzinganda jeraha zao Baba eeh Hawa wote tengemeo lao ni wewe Baba Ndiposa wanasema
Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah
Nikufahamu, Nikujue Nikufahamu Nikujue
Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah
To Know you More Lord @wanjiru
Video
Evelyn Wanjiru -NIKUFAHAMU ( Know You Lord)- Official Video