Sifa Lyrics

Divai by Mercy Masika + Christina Shusho cover art

Mercy Masika + Christina Shusho - Divai Lyrics

Artist:
Mercy Masika + Christina Shusho

Lyrics

Siku ya tatu ya arusi ya Canaan 
Mji wa Galilaya na mamake Yesu alikuwepo 
Yesu na Yeye alialikwa arusini 
Pamoja na wanafunzi wake eeh eeh 
Yesu akamwambia mama tuna nini nawe 
Kwani saa yangu haijawadia 


Divai kawaishia 
Mamake Yesu kamwambia 
Hakuna divai, hakuna divai, hakuna divai
Maria akawaambia watumishi 
Yoyote akisema nyinyi fanye


Nikiwa na wewe (sitoaibika) 
Pamoja na wewe (sitoaibika)  
Mimi na wewe (sitoaibika) 
Sito sito sito kamwe 


Katika kila hali iwe ngumu iwe shwari 
Mungu husema, Mungu husema 
Na akisema 
In place of shame He wil give you double double 
In place of dishonour he will give you everlasting jou


Badala ya aibu atakupa maradufu 
Kwa utukufu wake mi naenjoy 


Mamake Yesu kamwambia 
Hakuna divai, hakuna divai, hakuna divai 
Hakuna divai, hakuna divai, hakuna divai
Maria akawaambia watumishi 
Yoyote akisema nyinyi fany


Sitoaibika, sitoaibika, sito- sitoaibika


Video