Jina Medley Lyrics - Solomon Sila

Solomon Sila swahili

Chorus:
featuring Mariam Namutosi & Mike Manoa
Jina Jina la yesu (the Name of Jesus)
Linanipa uhuru (It gives me freedom)
Jina Jina la yesu (the name of Jesus)
Limefunuliwa linauhuru (It is revealed

Jina Medley Video

Buy/Download Audio

Jina Medley Lyrics

 featuring Mariam Namutosi & Mike Manoa
Jina Jina la yesu (the Name of Jesus)
Linanipa uhuru (It gives me freedom)
Jina Jina la yesu (the name of Jesus)
Limefunuliwa linauhuru (It is revealed and it has freedom)

Nalipenda Hilo Jina ( I love that name)
Hilo Jina lenye nguvu ( that name which has all the power)
Lastahili sifa libarikiwe (it is worthy of praise and we bless it)
Hilo jina la Yesu… (That name of Jesus)
Hilo Jina La Yesu (that name of Jesus)