Sifa Lyrics

Bwana U Sehemu Yangu by PaPi Clever & Dorcas cover art

PaPi Clever & Dorcas - Bwana U Sehemu Yangu Lyrics

Artist:
PaPi Clever & Dorcas
Album:
Pamoja Na Wewe
Official Release:
27 Mar 2024

Lyrics

Verse 1
Bwana u sehemu yangu, Rafiki yangu wewe
Katika safari yangu Tatembea na wewe
Pamoja na wewe, Pamoja na wewe
Katika safari yangu Tatembea na wewe


Verse 2
Mali hapa sikutaka, Ili niheshimiwe
Na yanikute mashaka Sawa sawa na wewe
Pamoja na wewe, Pamoja na wewe
Heri nikute mashaka Sawa sawa na wewe


Verse 3
Niongoze safarini, Mbele unichukue
Mlangoni kwa Mbinguni Niingie na wewe
Pamoja na wewe, Pamoja na wewe
Mlangoni kwa mbinguni, Niingie na wewe


Video