PaPi Clever & Dorcas - Siku Moja Mavuno Lyrics

Lyrics

Siku moja mavuno yataisha kabisa
[One day the harvest will end completely]
baada ya hayo hukumu
[after that judgment]
Jua litazimika siku hiyo ya mwisho
[The sun will shut down on that last day]
na hutasikia injili
[and you will not hear the gospel]


Chorus:
Atakusanya ngano
[He will gather wheat]
kwa furaha ghalani
[joyfully into the barn]
bali makapi yote yatatupwa motoni
but all the stubble will be thrown into the fire]
Rafiki, utakuwa wapi?
[Friend, where will you be?]


Mahubiri na nyimbo za wokovu wa Mungu
[Sermons and songs of God's salvation]
zitakaponyamanza huku
[when they become silent here]
uliyelikataa neno zuri la Mungu
[You who rejected the good word of God]
utakaa wapi milele?
[where will you stay forever?]

Watu wote wa Mungu wafikapo mbinguni
[When All God's people came to heaven]
kukaa pamoja na Yesu
[to stay with Jesus]
wataimba kabisa kwa sauti ya nguvu
[they will sing with a loud voice]
kumshangilia Mwokozi
[to rejoice in the Savior]

Video

SIKU MOJA MAVUNO - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST

Thumbnail for Siku Moja Mavuno video
Loading...
In Queue
View Lyrics