PaPi Clever & Dorcas - Je Umelisikia Jina Zuri Lyrics

Contents:

Je Umelisikia Jina Zuri Lyrics

Je, umelisikia jina zuri
Jina la Mwokozi wetu?
Linaimbiwa duniani pote
Na katika watu wote

Yesu, jina hilo linapita
Majina yote kwa uzuri
Ni lenye nguvu ya kutuokoa
Na hatia na makosa
Yesu, jina hilo linapita
Majina yote kwa uzuri
Ni lenye nguvu ya kutuokoa
Na hatia na makosa

Linafariji moyo wa huzuni
Latutia raha kuu
Katika shida na hatari huku
Jina hili latulinda

Yesu, jina hilo linapita
Majina yote kwa uzuri
Ni lenye nguvu ya kutuokoa
Na hatia na makosa
Yesu, jina hilo linapita
Majina yote kwa uzuri
Ni lenye nguvu ya kutuokoa
Na hatia na makosa

Katika giza huku jina hili
Linang’aa kama nyota
Lanipa utulivu na ‘hodari
Siku zote hata kufa

Yesu, jina hilo linapita
Majina yote kwa uzuri
Ni lenye nguvu ya kutuokoa
Na hatia na makosa
Yesu, jina hilo linapita
Majina yote kwa uzuri
Ni lenye nguvu ya kutuokoa
Na hatia na makosa

Majina yote yasahauliwa
Ila jina lake Yesu
Milele  litang’aa huko juu
Yesu, jina nzuri mno
Majina yote yasahauliwa
Ila jina lake Yesu
Milele  litang’aa huko juu
Yesu, jina nzuri mno

Yesu, jina hilo linapita
Majina yote kwa uzuri
Ni lenye nguvu ya kutuokoa
Na hatia na makosa

Amazina yos' aribagirana
Kerets' izina rya Yesu
Rizahora rimurika mw ijuru
Yesu ni we zina ryiza

Yesu ni we zina rihebuje
Rirut’ayandi yose mw isi
Rifit' imbaraga zo kudufasha
Ridukiz' ibyaha byose


PaPi Clever & Dorcas Songs

Related Songs