Lyrics
[Intro]
(Instrumental)
[Verse 1]
Wanaokutumainia
Kama mlima Sayuni
Hata upepo uvume
Hawatatikisika
Wanaokutumainia
Kama mlima Sayuni
Hata upepo uvume
Hawatatikisika
(Wale wote)
Wanaokutumainia (Wako imara)
Kama mlima Sayuni
Hata upepo, hata upepo uvume
Hawatatikisika
(Wale wote, he!)
Wanaokutumainia (Wafananishwa)
Kama mlima Sayuni
Hata upepo, hata upepo uvume
Hawatatikisika
[Chorus]
Nitasimama, nitasimama
Nitasimama, sitatikisika
Nitasimama, nitasimama
Nitasimama, sitatikisika
[Verse 2]
Njia inaweza kuwa ngumu mbele yangu
Mawimbi ya maisha nayo huvuma sana, he
Lakini ninajua Bwana yu pamoja nami
Na mkono wake utonilinda (Utanilinda)
Nina imani naye, kwamba sitashindwa
[Verse 1 Repeat]
Wanaokutumainia (Wafananishwa)
Kama mlima Sayuni
Hata upepo, hata upepo uvume
Hawatatikisika
(Wale wote)
Wanaokutumainia (Wafananishwa)
Kama mlima Sayuni
Hata upepo, hata upepo uvume, wa kweli
Hawatatikisika
[Chorus]
Nitasimama, nitasimama
Nitasimama, sitatikisika
Nitasimama, nitasimama
Nitasimama, sitatikisika
[Bridge 1]
Dunia inaweza kubadilika leo
Marafiki wengi wakaondoka
Lakini wewe Bwana, hubadiliki kamwe
Neema yako itanibeba daima
Nitatembea, bila kuogopa
Kwa maana nuru yako yaniongoza
Na hata giza likinizunguka sana
Jina lako ni ngome yangu
[Verse 1 Repeat]
Wanaokutumainia
Kama mlima Sayuni
Hata upepo uvume
Hawatatikisika
(Wale wote)
Wanaokutumainia (Wako imara)
Kama mlima Sayuni
Hata upepo, hata upepo uvume
Hawatatikisika
[Chorus]
Nitasimama, nitasimama
Nitasimama, sitatikisika
Nitasimama, nitasimama
Nitasimama, sitatikisika
[Bridge 2]
Bwana ni mwamba wangu
Nguvu zangu zatoka kwake
Nguvu zangu zatoka kwake
Bwana ni mwamba wangu
Sitatikiswa kamwe
Hata dunia ibadilike
Bwana ni mwamba wangu
Nguvu zangu zatoka kwake
Nguvu zangu zatoka kwake
Bwana ni mwamba wangu
Sitatikiswa kamwe
Hata dunia ibadilike
[Chorus / Outro]
Nitasimama, nitasimama
Nitasimama, sitatikisika
Nitasimama, nitasimama
Nitasimama, sitatikisika