Sifa Lyrics

Yesu Mtenda Makuu by Msanii Music Group cover art

Msanii Music Group - Yesu Mtenda Makuu Lyrics

Artist:
Msanii Music Group
Album:
Yesu Mtenda Makuu - Single
Official Release:
30 May 2025

Lyrics

[Chorus]
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe


[Verse 1]
Mwanamke aliyetokwa na damu
Kwa muda miaka kumi na mbili
Aligusa pindo la vazi lake
Akapona
Sina shaka na wewe
Hata leo umesimama na mimi
Yesu mtenda makuu
Kwenye mawimbi mazito
Umenishika mkono
Yesu mtenda makuu
Mbele yangu umenitangulia
Umeutuliza na moyo wangu
Nikiwa na wewe niko salama
Niko salama


[Verse 2]
Mbele yangu umenitangulia
Umeutuliza na moyo wangu
Nikiwa na wewe niko salama
Niko salama


[Verse 3]
Kwenye mapungufu yangu
Nakuomba Bwana unijibu na mimi
Maishani milima
Na bila nguvu zako sitaweza kupambana
Ni nani anayeweza kufanya mambo yake
Bila mkono wako Bwana
Sina ujanja wa kufanya lolote
Bila wewe Bwana ni bure


[Chorus]
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe


[Verse 4]
Mwanamke aliyetokwa na damu
Kwa muda miaka kumi na mbili
Aligusa pindo la vazi lake
Akapona
Sina shaka na wewe
Hata leo umesimama na mimi
Yesu mtenda makuu
Kwenye mawimbi mazito
Umenishika mkono
Yesu mtenda makuu
Mbele yangu umenitangulia
Umeutuliza na moyo wangu
Nikiwa na wewe niko salama
Niko salama


[Bridge]
Ole kwake anayetegemea nguvu zake
Na amelaaniwa mtu yule anayemtegemea mwanadamu mwenzake
Amfanye kinga yake
Na kumtenga Mungu muumba wake
Tegemea Mungu siku zote
Kwa mambo yako
Naye atasimama na wewe
Utapata ushindi


[Chorus]
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe
Yesu mtenda makuu
Nina imani na wewe


[Outro]
Mwanamke aliyetokwa na damu
Kwa muda miaka kumi na mbili
Aligusa pindo la vazi lake
Akapona
Sina shaka na wewe
Hata leo umesimama na mimi
Yesu mtenda makuu
Kwenye mawimbi mazito
Umenishika mkono
Yesu mtenda makuu
Mbele yangu umenitangulia
Umeutuliza na moyo wangu
Nikiwa na wewe niko salama
Niko salama


Video