Sifa Lyrics

Msanii Music Group - Ninatamani Maisha Lyrics

Artist:
Msanii Music Group
Album:
Ninatamani Maisha - Single
Official Release:
26 Jun 2023

Lyrics

Verse 1
Ninaposikia wenzangu wanaitwa majina
Majina matamu, majina ya kifahari
Kiongozi, mfalme, mwalimu wa akili
Ewe daktari, mheshimiwa

Chorus
Huo ninatamani kulipata jina lililo nzuri
Jina lililo na sifa, na thamani
Tena la kutambulika
Ila ukweli ni kwamba, jina jema
Huja kwa gharama
Eti ukiwa na hela, majina mema utayapata

Verse 2
Ninatamani kuitwa majina ya lema kuu duniani
Ninatamani maisha yale ya kifahari ili niridhike
Ila neno lake la kweli linanikumbusha
Dunia hii inapita
Niiwekeze hazina ya mbinguni
Na miliki yangu itadumu

Verse 3
Tunao katika Biblia, wale waliopata majina
Samsoni alipodhani ni kwa nguvu zake, alianguka
Petero akatembea juu ya maji, akajawa kiburi
Naye Lusifa, Lusifa, baba ya uongo, mwimbaji mkali
Alitupwa humo duniani na hadi leo anatusumbua

Bridge
Tujiadhari tusipate sifa
Sifa kwa muda kidogo
Na mwishowe tupate hangaiko
Hangaiko kwa mtu wa milele
(Na mwishowe tupate hangaiko)
(Hangaiko kwa mtu wa milele)

Outro
Ninatamani kuitwa majina ya lema kuu duniani
Ninatamani maisha yale ya kifahari ili niridhike
Ila neno lake la kweli linanikumbusha
Dunia hii inapita
Niiwekeze hazina ya mbinguni
Na miliki yangu itadumu