Sifa Lyrics

Kuna Njia Mbili by Msanii Music Group cover art

Msanii Music Group - Kuna Njia Mbili Lyrics

Artist:
Msanii Music Group
Album:
Kuna Njia Mbili - Single
Official Release:
17 Jan 2026

Lyrics

[Chorus]
Kuna njia mbili (Njia mbili, njia mbili)
Utaichagua mwenyewe
Kuna njia mbili (Njia mbili, njia mbili)
Utaichagua mwenyewe
Jia ya kwanza (Jia ya kwenda mbinguni)
Jia ya pili (Jia ya kwenda motoni)
Jia ya kwanza (Jia ya kwenda mbinguni)
Jia ya pili (Jia ya kwenda motoni)
Leo chagua (Jia ya kwenda mbinguni)
Kuliko (Jia ya kwenda motoni)
Leo chagua (Jia ya kwenda mbinguni)
Kuliko (Jia ya kwenda motoni)


[Verse 1]
Watu wengi wameichagua njia
Iwaplekayo rahani
Leo huku, kesho kule
Bila kuyawazia yajayo
Tunapaswa kujua
Ipo njia ya uzima
Ingawa jeni ni nyembamba
Mwisho wake ni raha tele


[Verse 2]
Zipo njia zionekanazo nzuri
Mbele ya macho ya binadamu
Mwisho wake ni mauti
Hili twapaswa kulielewa
Moyo waweza kucheka
Ukiwa na maumivu
Furaha yaweza kukoma
Ikageuka huzuni


[Chorus]
Watu wamekuwa na shingo ngumu
Wamekataa maagizo ya Mungu wao
Nipe moyo wa kuweza kuelewa
Na kuzifuata njia zako
Onda moyo wangu uwe laini
Uyakubali maagizo
Nisije nikakosa dhamani kwako
Unapochukua walio wako
Nisije nikaikosa dhawabu
Uliyowekea watu wako


[Verse 3]
Maisha ya milele si ya bahati na nasibu
Ni kwa yule anayejinyima
Pamoja na kuvumilia
Kufuata Yesu
Leo jinyime raha, achana na starehe
Starehe ni za muda
Heri upoteze vya kuharibika
Kuliko uzima wa milele


[Chorus]
Zipo njia zionekanazo nzuri
Mbele ya macho ya binadamu
Mwisho wake ni mauti
Hili twapaswa kulielewa
Moyo waweza kucheka
Ukiwa na maumivu
Furaha yaweza kukoma
Ikageuka huzuni
Watu wamekuwa na shingo ngumu
Wamekataa maagizo ya Mungu wao
Nipe moyo wa kuweza kuelewa
Na kuzifuata njia zako
Onda moyo wangu uwe laini
Uyakubali maagizo
Nisije nikakosa dhamani kwako
Unapochukua walio wako
Nisije nikaikosa dhawabu
Uliyowekea watu wako


[Outro]
Kuna njia mbili (Njia mbili, njia mbili)
Utaichagua mwenyewe
Kuna njia mbili (Njia mbili, njia mbili)
Utaichagua mwenyewe


Video