Lyrics
Verse 1
Kwa kina moyo wangu wakutaka
Nafsi yangu pia haina shauku kuu
(Kwako sitoki, mimi huridhika hemani mwako)
Neno lako ni kweli na kamilifu
Umenipa ushindi bila kikomo
(Umenipa hakika utaziongoza hatua zangu)
Chorus
Eeh Ngome yangu umeniandalia karamu
Mbele ya watesi wangu
Eeh Wimbo wangu Kwa vinanda na zeze
Nakesha kuimbaaa nakesha kuimbaa
Nakesha kuimbaa Nakesha X2
Verse 2
Kwa kina moyo wangu wakutaka
Nafsi yangu pia haina shauku kuu
(Kwako sitoki, mimi huridhika hemani mwako)
Neno lako ni kweli na kamilifu
Umenipa ushindi bila kikomo
(Umenipa hakika utaziongoza hatua zangu)
Chorus
Eeh Ngome yangu umeniandalia karamu
Mbele ya watesi wangu
Eeh Wimbo wangu Kwa vinanda na zeze
Nakesha kuimbaaa nakesha kuimbaa
Nakesha kuimbaa Nakesha X2