Nifunze

Nifunze Lyrics

Kama miaka sita iliyopita 
Sikuwa na jina wangeniita 
Sikuwa na wimbo mi ningeimba 
Sikudhani maisha yangu ingebadilika  .

Pole pole tu, mi nasonga ju 
Unanifunza tu, mwalimu wangu 
Isifike mahali Baba mi niringe 
Isifike mahali Baba nijiinue 
Hizo makofi, hizo mashangwe 
Hizo manduru, zisinichanganye  .

Eeeh Baba, eeh nifunze 
Naomba eeh ee nifunze  
Ikiwa sijui kuabudu ee nifunze 
Ikiwa sijui utukufu ee nifunze  .

Ninaimba ju uliniita 
Nikifika ju pokea sifa 
Nisiwe na roho wa kujiringa 
Isifike siku nipewe sifa  .

Pole pole tu, mi nasonge ju 
Unanifunze tu, mwalimu wangu 
Kujigamba kiburi Baba nikianza 
Bila wewe Baba nitazama 
Hizo makofi, hizo mashangwe 
Hizo manduru, zisinichanganye  .

Eeeh Baba, eeh nifunze 
Naomba eeh ee nifunze  
Ikiwa sijui kuabudu ee nifunze 
Ikiwa sijui utukufu ee nifunze  .

Eeeh nifunze, eeeh nifunze


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Nifunze:

0 Comments/Reviews