Sifa Lyrics

Safari - Shida Nyingi Safarini by Denno + Eunice Njeri cover art

Denno + Eunice Njeri - Safari - Shida Nyingi Safarini Lyrics

Artist:
Denno + Eunice Njeri

Lyrics

Uko pamoja nasi Yesu 


Najua umetuita zaidi ya washindi 


Tembea nawe 


(Safarini) kwa uwezo wake mola (nitafika) 


Safari ndefu yaanza kwa hatua moja 


Wahenga (walisema), nikiokoka 


Nachukua hatua ya kwanza 


Ya safari ya mbinguni 


Kuna changamoto, kuna panda shuka 


Lakini kwa uwezo wake Yesu nitafika 


Shida nyingi safarini 


Ingawa safari ngumu nitafika 


Shida nyingi safarini 


Ingawa safari ngumu nitafika 


Iye iyee iyee 


Kwa uwezo wake mola nitafika 


Neno linasema wewe kamwe hutaniacha 


Utakaa nami kila hatua hatua eeh 


Sitaogopa hata nipite uvulini mwa mauti 


Watumeenda na kusema nami 


Kunibeba Yesu nishike mkono 


Kaa nami usiniache naomba 


Shida nyingi safarini 


Ingawa safari ngumu nitafika 


Shida nyingi safarini 


Ingawa safari ngumu nitafika 


Iye iyee iyee 


Kwa uwezo wake mola nitafika 


Najua nitafuka iye iyee iyee 


Niseme nini Yesu hakuna kama wewe


Yule rafiki wa karibu 


Shida nyingi safarini 


Ingawa safari ngumu nitafika 


Shida nyingi safarini 


Ingawa safari ngumu nitafika 


Iye iyee iyee 


Kwa uwezo wake mola nitafika 


Video