Zabron Singers - Jubilee Lyrics

Lyrics

Sikukuu ya vibanda imefika Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu Tupokee mioyo yetu tumefika Tutazitoa mali na mioyo yetu Familia zirekebishwe Na ndoa zirekebushwe Wenye kutoa turekebishewe Imani iwe imara Masengenyo tuache hapa Wivu tuutawale Uzinzi tuukumee Na upendo ukatawale Bishara zetu, tumeziacha Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu Mashamba yetu Tumeyaacha Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu

Ni desturi yako toka enzi Uzao wako ukae pamoja Wakuabudu na kukusifu bwana Wafue mavazi wajitakase Wafue mavazi ya mioyo yao Iwe upatanisho wetu na wewe

Baraka kwa atu wote Finyanga mioyo yao Bariki watoto wako Wakirudi wakutukuze Na pale walipotoa Rudisha wajaze tele Na hivyo walivyo navyo Viongezeke ukaviyunze

Baba tuko kwako Mbeba mambo yote Beba shida zetu kwenye hii jubilee jubilee Takasa mioyo yetu Jinsi upendavyo Tusitoke vile vile Baba tutakase mibaraka tubebe

Hii ni jubilee Bado tuko kwenye jubilee Tubariki kwenye hili jubilee Mibaraka ipo jubilee Bishara zetu, tumeziacha Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu Mashamba yetu Tumeyaacha Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu Na nyumba zetu, tumeziacha Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu Watoto wetu Bwana tumewaleta Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu Washiriki wote, ona tuko hapa Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu Wachungaji wetu, ona wako hapa Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu

Hii ni jubilee Bado tuko kwenye jubilee Tubariki kwenye hili jubilee Mibaraka ipo jubilee Tumekuja kukutana na wewe mungu wetu

Video

jubilee by zabron singers (Official lyrics)

Thumbnail for Jubilee video
Loading...
In Queue
View Lyrics