Nijiuliza sana
Nijiuliza sana kila siku
wakati wangu ni lini
wakati wangu ni lini? .
Wakati wa kukutana na wewe
Wakati wa kuona mkono wako
Wakati wa kuona baraka zako
Wakati wa kuinuliwa na wewe
Wakati wangu ni lini?
Wakati wangu ni lini? .
Niambie ni lini Baba
Niambie ni lini Mungu wangu
Niambie ni lini Baba
Niambie ni lini Mungu wangu .
Wengi wamesema subira huvuta heri
Wengi nimesia mvumilivu hula mbivu
Wengi wamesema subira huvuta heri
Wengi nimesia mvumilivu hula mbivu .
Hezekia alikwita Mungu wangu
Nawe ulimsikia Baba
Ulipotuma mtumishi wako Eliya
Atengeneze mambo ya nyumbani mwake
Ndipo Ezekia akageuka akukuita Mungu wangu
Nawe ukamsikia Baba
Wakati wangu ni lini Baba?
Wakati wangu ni lini Baba niambie .
Niambie ni lini Baba
Niambie ni lini Mungu wangu
Niambie ni lini Baba
Niambie ni lini Mungu wangu .
Niambie ni lini Baba
Niambie ni lini Mungu wangu
Niambie ni lini Baba
Niambie ni lini Mungu wangu .
Write a review/comment/correct the lyrics of Wakati Wangu Ni Lini:
No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section