Israel Mbonyi - Sitamuacha Lyrics
Lyrics
Intro:
Nilie mtambua, Hakuna kitatutenganisha
Hakuna Atakae ninyang’anya taji langu
Ayeeee , nimeshika Sitamuacha
Verse:
Mtini usipo chanua, mizabibu isitoe matunda
Bado nitamufurahia wamilele bwana wangu
Haya yanitia moyo, Ni mchungaji wa upendo
Aliacha tisini na tisa, kaja kutafuta moja.
Pres-chorus
Amenibadilishia huzuni, aka Nipa furaha ya kweli
Bahati gani niliyo nayo, kuwa Mrithi na Kristo .
Chorus:
Kipi kitanitenga na upendo wake
Maafa na majanga oh Hayawezi
Ya Leo na yajayo nayo hayawezi
Ayeee nimemshika sitamuacha
Bridge:
Nimemuona usiku na mchana,
Mkono wake umenitendea
Kila mlima aliusambaza
Video
Israel Mbonyi - Sitamuacha