Sarah K - Atwaa Lyrics

Album: Halleluyah
Released: 24 Dec 2023
iTunes Amazon Music

Lyrics

Atwaa atwaa
Atwaa atwaa
Ulivyo navyo
Atwaa
Mizigo yote  
Atwaa
Atwaa atwaa
Atwaa atwaa
Ulivyo navyo
Atwaa
Mizigo yote  
Atwaa
Atwaa atwaa
Atwaa atwaa
Ulivyo navyo
Atwaa
Mizigo yote  
Atwaa
Atwaa atwaa
Atwaa atwaa
Ulivyo navyo
Atwaa
Mizigo yote  
Atwaa

Maovu yote
Aibu yote
Uchungu wote
Hofu pia
Atwaa atwaa
Mizigo yote
Atwaa
Magonjwa yote
Udhaifu wako
Unyonge wako
Hatari zote
Atwaa atwaa
Mizigo yote
Atwaa

Atwaa atwaa
Atwaa atwaa
Ulivyo navyo
Atwaa
Mizigo yote  
Atwaa
Atwaa atwaa
Atwaa atwaa
Ulivyo navyo
Atwaa
Mizigo yote  
Atwaa
Atwaa atwaa
Atwaa atwaa
Ulivyo navyo
Atwaa
Mizigo yote  
Atwaa
Atwaa atwaa
Atwaa atwaa
Ulivyo navyo
Atwaa
Mizigo yote  
Atwaa

Video

DR. SARAH K - ATWAA (Official Video) sms "Skiza 5850028" send to 811

Thumbnail for Atwaa video
Loading...
In Queue
View Lyrics