Sifa Lyrics

Usinichoke by Janet Otieno cover art

Janet Otieno - Usinichoke Lyrics

Artist:
Janet Otieno

Lyrics

Ninayotaka Kufanya Sifanyi
Nisiyotaka Kufanya Nafanya
Nahisi Kama Imani Yangu Hafifu
Mimi Mnyonge Tena Mdhaifu
Na Najikwaa Naanguka Ila Bado Naamka
Ila Sijachoka Kujaribu Kukupendeza Babaaa
Oh Najikwaa Naanguka Ila Bado Naamka
Ila Sijachoka Kujaribu Kukupendeza Babaaa
Oh Najua


Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Unayeelewa Changamoto Nazopitia
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Unayeelewa Changamoto Nazopitia


Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote


Malengo Yangu
Matakwa Yangu Na Nia Zangu Ni Njema
Ila Ibilisi Anakesha Akiotea Moyo Wangu
Majaribu Makali Yanafanya Imani Yangu Inayumba
Na Waumini Wenzangu Wananishutumu Vikali Ii Ii
Maneno Yao Yamefika Kwenye Koo, Kwenye Koo Ooh Oh Oh
Wengine Wananiita Muongo, Muongo Najua


Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Unayeelewa Changamoto Nazopitia
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Unayeelewa Changamoto Nazopitia


Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote


Kujikwaa Si Kuanguka
Na Imani Yangu Nitaijenga
Kwa Upendo Na Msamaha Wako Baba
Kujikwaa Si Kuanguka
Na Imani Yangu Nitaijenga
Kwa Upendo Na Msamaha Wako Baba Najua


Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Unayeelewa Changamoto Nazopitia
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Oh Niwe Niwe Niwewe
Unayeelewa Changamoto Nazopitia


Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote
Usinichoke Babaa! Usinichoke
Nikianguka Niokote


Babaaaaa
Niwewe Wewee
Niweweee Oh Oh Ooh


Video