Sifa Lyrics

Nitangoja by Janet Otieno cover art

Janet Otieno - Nitangoja Lyrics

Artist:
Janet Otieno

Lyrics

Aaaaaah yeah
Bure bure bure
Mmmmhh mama aaaah yeah
Hairudi hairudi bure
Neno asemalo halitarudi
Haiwezi haiwezi delay
Kusudi la Bwana halitadelay


Nimekuona shambani ata wakati wa kiangazi
Umenibariki hadharani
Hukuuliza binadamu ruhusa
Na umefanya njia pasipo na njia
Penye hasara faida
Ukanimulikia Gizani


Mambo bado
Badoo bado Kuna mahali naangalia
Nitangoja ngoja ngoja
Hadi utende unipandishe
Unipandishe nitangoja ngoja
Nitangoja ngoja ngoja
Hadi utende unipandishe
Unipandishe


Inuka nafsi yangu msifu Bwana
Tabasamu kwa Giza
Asubuhi majibu
Zaidi wanavyodhani
Na je hujui aliyeumba ulimwengu
Aliyekuumba yupo juu mbinguni
Usipo hisi vizuri pia yeye haisi vizuri


Anaelewa wakati wa jua
Ataleta Mvua ,atakuheshimisha
Kuna mipango umeeeka chini
Yesu anaona yeye anaona hatazitatua
Mambo bado bado Bado Bado Kuna mahali naangalia


Nitangoja ngoja ngoja
Nitangoja ngoja ngoja
Hadi utende
Hadi utende unipandishe
Unipandishe nitangoja ngoja ngoja
Nitangoja ngoja ngoja Hadi utende unipandishe


Video