Guardian Angel - Tuko Same Lyrics

Tuko Same Lyrics


Uwe kwa nduthi ama base
Kwa matatu ama bike my friend
Sisi sote tuko same (oooh I)
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Uwe kwa nduthi ama base
Kwa matatu ama bike my friend
Sisi sote tuko same (oooh I)
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Tuko same
Tuko same
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same
Tuko same
Tuko same
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Kama ni madoh
Sir God ndo anapeananga madoh
Kuna wale wana matrilioni
Na wengine wana masoh
Na yote na doh
Sometimes iyo situation inaboo
Lakini mbele ya Mungu
Sisi sote tuko same

Tuko same
Tuko same
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same
Tuko same
Tuko same
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Uwe kwa nduthi ama base
Kwa matatu ama bike my friend
Sisi sote tuko same (oooh I)
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Uwe kwa nduthi ama base
Kwa matatu ama bike my friend
Sisi sote tuko same (oooh I)
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Azonto, lipala, mosquito,kanunga
Gwara gwara, gwara gwara
Be happy, be happy
Sababu mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Azonto, lipala, mosquito,kanunga
Gwara gwara, gwara gwara
Be happy, be happy
Sababu mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Uwe mchanga bado ama mzee, fathela au mathe
Najua mbele ya Mungu tuko same
Uwe mchanga bado ama mzee, fathela au mathe
Mbele ya Mungu tuko same

Tuko same
Tuko same
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Uwe kwa nduthi ama base
Kwa matatu ama bike my friend
Sisi sote tuko same(oooh I)
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Uwe kwa nduthi ama base
Kwa matatu ama bike my friend
Sisi sote tuko same (oooh I)
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same


Wengine wameshapata, na wengine bado
Lakini shadow madow, ovacado madow
Siku yao itafika tu watapata madoh
Sababu mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Uwe mchanga bado ama mzee, fathela au mathe
Najua mbele ya Mungu tuko same
Uwe mchanga bado ama mzee, fathela au mathe
Mbele ya Mungu tuko same

Azonto, lipala, mosquito,kanunga
Gwara gwara, gwara gwara
Be happy, be happy
Sababu mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Azonto, lipala, mosquito,kanunga
Gwara gwara, gwara gwara
Be happy, be happy
Sababu mbele ya Mungu sisi sote tuko same


Tuko same
Tuko same
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

Tuko same
Tuko same
Mbele ya Mungu sisi sote tuko same

 


Tuko Same Video

Guardian Angel Songs

Related Songs