Christina Shusho - Pendo la Mungu Lyrics
Lyrics
Naona pendo kubwa mimi Latoka kwa mwokozi wangu Nipe kama maji mengi Yatembeavyo baharini
Lanitolea tumaini Yakwamba nitajua Mungu Na niwe Mungu hodari tena Kwa pendo kubwa la mwokozi
Lanitolea tumaini Yakwamba nitajua Mungu Na niwe Mungu hodari tena Kwa pendo kubwa la mwokozi
---- ----
Video
Christina Shusho - Pendo la Mungu (Official Audio)