Eeh Baba yangu
Baba yangu, Mungu wangu
Nakupenda, nakupenda
Eeh Baba yangu
Baba yangu, Mungu wangu
Nakupenda, nakupenda
Umeniokoa, baba yangu
Umenisamehe dhambi, Mungu wangu
Kweli nakupenda, nakupenda
Nikitazama dunia jinsi ulivyoiumba
Nikitazama milima jinsi ulivyoiweka
Nikitazama bahari jinsi ulivyoiweka
Wanyama milimani, samaki baharini
Na ndege wa angani umenipa mi nitawale
Wanyama milimani, samaki baharini
Na ndege wa angani umenipa mi nitawale
Kweli Mungu we ni mwema sana
Halleluyah
Tangu uumbaji Bwana kanifikiria mema
Pale aliponiumba kwa mfano wake yeye
Tangu uumbaji Bwana kanifikiria mema
Pale aliponiumba kwa mfano wake yeye
Nizitawale vitu vyote, kwa dunia hii
Kanipa na mamlaka --
Nizitawale vitu vyote, kwa dunia hii
Kanipa na mamlaka --
Nimwelezeje Mungu wangu
Enyi mataifa mnisikie
Nimwelezeje Mungu wangu
Kweli Bwana nakushukuru
Nimweleze muumba wangu eeh eeh
Baba yangu, Mungu wangu
Nakupenda, nakupenda
Eeh Baba yangu
Baba yangu, Mungu wangu
Nakupenda, nakupenda
Baba yangu, Mungu wangu
Nakupenda, nakupenda
Eeh Baba yangu
Baba yangu, Mungu wangu
Nakupenda, nakupenda