OooouuuuuHHH … Pozee !
Pozee Pozee ! Mmmmmh !!!!!
Wife wangu jana nlimvunja shingo oooh
(Why you do that ??)
Sababu ya panganga nganga bila mpango oh
Nmekua sijielewi nimekua sijilewi mwenyezi
Nmekua sijielewi nmekua sijielewi jalalii
Unisamehee (Unisamehee mimi)
Unisamehe (Uuuuhh)
Unisamehe (unisamehe mimi)
Unisamehe
Wengine wakicheza iogoo
Mi nabaki na wee
Wengine wakicheza iogoo
Mi nabaki na wee
Ni we… ni we… ni wee
Unisamehe
Ni we… ni we… ni wee
Unisamehe
Sio siq kana kwamba mie specialy
Ndio maana na come personaly
Mie kama mselaa
Mengi nimekoseaa ah
Mie kama mselaa
Mengi nimekoseaa ah
Man is to error
All I need is your forgiveness Papaa
Unisamehee (Unisamehee mimi)
Unisamehe (Uuuuhh)
Unisamehe (unisamehe mimi)
Unisamehe
Wengine wakicheza iogoo
Mi nabaki na wee
Wengine wakicheza iogoo
Mi nabaki na wee
Ni we… ni we… ni wee
Unisamehe
Ni we… ni we… ni wee
Unisamehe
Ata daudi alikosaa ukamusamehee
Ata Solomon alikosaa ukamusamehee
Kweli wewe Baba ah
Wewe ndiwe mwema ah
Kweli wewe baba ah
Hauchoki nono oh
Naomba unisamehe
Na wenzangu pia
Ati naomba unisamehe
Na wenzangu pia
Ati naomba unisamehe
Unisamehe…
Naomba unisamehe heeeeh !!
Mi nabaki na wee
Wengine wakicheza iogoo
Mi nabaki na wee
Ni we… ni we… ni wee
Unisamehe
Ni we… ni we… ni wee
Unisamehe
Mi nabaki na wee
Wengine wakicheza iogoo
Mi nabaki na wee
Ni we… ni we… ni wee
Unisamehe
Ni we… ni we… ni wee
Unisamehe
Ale pole ale tobina
Ale pole, Mama ah
Ale polee ale tobina
Ale poleeehh ! Papa ah
Tobina tobina Arrikacha
Aaaaah hummm Moto na Nzambe
( aaaah. hummmm
Ale poleee eh , chinikwachini
Ale pole, Mama ah
Ale polee eh, Chukwachu
Ale polee eh, Papah …..