Lyrics
[Ubeti 1 / Verse 1]
Mungu wa Yakobo
Mungu wa Eliya
Mungu muweza yote (Mweza yote)
Magumu umeondoa
Na sasa nimeshinda
Milele upewe sifa (Aah...)
Sifa zote mimi nakuachia Wewe
Maana Wewe ni mshindi (Iii...)
Niliinuka, tena na tena
Waliniwazia mema (Ooo...)
[Ubeti 2 / Verse 2]
Mungu wa Yakobo
Mungu wa Eliya
Mungu muweza yote (Eeeh...)
Magumu umeondoa
Na sasa nimeshinda
Milele upewe sifa (Aah...)
Sifa zote mimi nakuachia Wewe
Maana Wewe ni mshindi (Iii...)
Niliinuka, tena na tena
Waliniwazia mema (Ooo...)
[Kiitikio / Chorus]
Wema Wako wanitosha Baba
Kwani Wewe ni mkuu (Wewe ni mkuu)
Sikuwa na rafiki, kimbilio ulikuwa nami
Wana simba wandasi (Wana simba wandasi)
Hata kwenye magumu, tena tembea nasi
Nimeona wema Wako Baba
Ninasema asante
Kwa yale umetenda
Kwa maisha yangu
(Kurudia / Repeat Chorus)
Wema Wako wanitosha Baba
Kwani Wewe ni mkuu (Wewe ni mkuu)
Sikuwa na rafiki, kimbilio ulikuwa nami
Wana simba wandasi (Wana simba wandasi)
Hata kwenye magumu, tena tembea nasi
Nimeona wema Wako Baba
Ninasema asante
Kwa yale umetenda
Kwa maisha yangu
[Ubeti wa Ekegusii / Ekegusii Bridge]
Ekerotore amo
Ngotwire imbwaire
Korende magega yane
Oko ng’amba ogosaria erieteta
Omosani nchobono
Mokristo nchobono
Omosani wekene n'Yesu weka
[Kiitikio / Chorus]
Wema Wako wanitosha Baba
Kwani Wewe ni mkuu (Wewe ni mkuu)
Sikuwa na rafiki, kimbilio ulikuwa nami
Wana simba wandasi (Wana simba wandasi)
Hata kwenye magumu, tena tembea nasi
Nimeona wema Wako Baba
Ninasema asante
Kwa yale umetenda
Kwa maisha yangu
(Kurudia / Chorus Outro)
Wema Wako wanitosha Baba
Kwani Wewe ni mkuu (Wewe ni mkuu)
Sikuwa na rafiki, kimbilio ulikuwa nami
Wana simba wandasi (Wana simba wandasi)
Hata kwenye magumu, tena tembea nasi
Nimeona wema Wako Baba
Ninasema asante
Kwa yale umetenda
Kwa maisha yangu