Lyrics
[Chorus]
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
[Verse 1]
Mungu alizungumza na Yusufu kwa ndoto
Akamwambia Yusufu wewe kesho utatawala
Yusufu akaona ngoja awaambie ndugu zake
Ili waone kama wakafurahia ndoto hii
Akawaitaka awaambie ndugu sikilizeni
Nimeota mifugo yenu ikinisujudia
Ndugu zake Yusufu hawakupenda ndoto hiyo
Yusufu akawaita awatie wasikilizeni tena hii
Nimeota nyota kumi na mbili ikinisujudia
Ndugu zake Yusufu hawakupenda ndoto hiyo
Wakawaza mawazo mabaya kuhusu Yusufu
Lakini Mungu kawaza mema kuhusu Yusufu
Sikiliza mpendwa kwa jina la Yesu
Usikubali mtu aue ndoto yako
Kama yeye hawezi basi wewe unaweza
Maana hiyo ndoto yako imebeba kesho yako
z
Hiyo ndoto yako imebeba uchumi yako
Hiyo ndoto yako imebeba heshima yako
Hiyo ndoto yako imebeba huduma yako
Hiyo ndoto yako imebeba malengo yako
Hiyo ndoto yako imebeba majira yako
Hiyo ndoto yako imebeba kesho yako
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
Mtu wa Mungu
[Chorus]
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
[Bridge]
Kwa nini sisi walukole watu wanatusarau
Hatumekuwa mikia badala ya kichwa
Ona sasa tunawakopa badala tuwakopeshe
Inaonyesha wapendwa tumekosa maarifa
Hebu soma Methali 20:13
Neno la Mungu linasema wapendwa sikilizeni
Ukipenda usingizi utakuwa maskini
Unanyorosha miguu eti Mungu atatenda
Lakini neno la Mungu
Linasungumza tena
Wananguangamia kwa kukosa maarifa
Unakesha kanisani asubuhi mpaka jioni
Sisemi maombi ni mbaya ni njia ya uzima
Lakini mtu wa Mungu fanya kazi kwa bidii
Ili maono yako yaweze kutimia
Huku unaomba Mungu
Huku unafanya kazi
Ili kesho yako iweze kutimia
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
[Verse 5]
Neno la Mungu wapendwa ni amini na kweli
Na Mungu ikishasema hawezi badilika
Hebu soma Methali 23:7
Usikatili saba Mungu anasungumza
Aonavyo mtu moyoni ndivyo alivyo
Hivi wewe mpendwa hivi unaona nini
Kweli mimi ninachooona ninashinda
Maana nifanya kazi Mungu anikumbuke
Nimeota kubarikiwa lazima itimie
Nimeota kupanda ndege lazima itimie
Nimeota namiliki gari lazima itimie
Nimeota najenga nyumba lazima itimie
Nimeota naona kicheko lazima itimie
Ndoa yangu iko salama lazima itimie
Watoto wangu wanasoma lazima itimie
Nimeota kuinuliwa lazima itimie
Nimeota kupandishwa kazi ni lazima itimie
Nimeota nafuraa lazima itimie
Maana nafanya kazi kwa mikono yangu
Huku naomba Mungu atimize maono yangu
[Chorus]
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
[Bridge]
Maono yangu haizuiliki
Na ndoto yangu lazima itimie
Niko kama Yusufu
Yusufu aliuswa
[Chorus]
Niko kama Yusufu
Yusufu aliuswa kwa wamidiani
Lakini alipofika kule
Joseph become a ruler
[Outro]
Because vision never die
My vision is unstoppable
My dear God loves you
Work harder